Inafuatiliwa Kwa mazuri au viroja ? πππHii Nchi ya Kenya ni ya ajabu sana, inafuatiliwa na wenzake kila uchao. Iko sawa geopolitically na inatambulika Africa kote kwa ushawishi wake mkubwa katika nyanja tofauti haswa kidiplomasia na uchumi.
Kenya pia ni Nchi pekee Afrika inayoanza na Herufi "K" for Kunyaland. πππ
Mazuri bwana, michezo Kama raga, riadha, Kadanda Kama vile kuicharaza Taifa Stars, Uchumi was Kati hapa EAC hawa wengine kina Tz, Burundi wakiwa LDCs, Shirika kubwa la Ndege Afrika la KQ, Kuongoza kwa Utalii Afrika(namba 3 nyuma ya SA,Nigeria), kutupa satellite angani, miundombinu ya kisasa na technologia ya juu kuiliko Nchi zingine hapa EAC na mengine mengi. πInafuatiliwa Kwa mazuri au viroja ? πππ