Kumbe Jesca Kishoa alikuwa analalamikia Chadema kutofanya mkutano mkuu ili rufaa zao zisikilizwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Alicholalamikia Jesca Kishoa leo ni baadhi ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya ndani kwa wakati jambo ambalo linaminya demokrasia akitolea mfano wa Chadema.

Naibu Spika amemjulisha kuwa mikutano ya ndani inafanywa kwa mujibu wa katiba za vyama husika.

Chadema sikilizeni rufaa za hawa akina mama.

Kazi Iendelee!
 
Ushajiandaa kwenda kupalilia kaburi kule Chattle? Au nyie ndo mashabiki mandazi!? Mwendazake anaumia peke yake huko.
 
Oh kumbe anakiri kuwa mpaka sasa siyo wanachama ila wanaamini baraza kuu litawarudishia uanachama wao?
 
Ushajiandaa kwenda kupalilia kaburi kule Chattle? Au nyie ndo mashabiki mandazi!? Mwendazake anaumia peke yake huko.
Nashukuru umemkumbusha kiwanja cha tinga tinga kimeshaota nyasi ni chakufyekea akiendekeza njaa atakuta zege imefunikwa na pori
 
Ujue haukumsikia peke yako!

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…