ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Me Mara ya Kwanza kabisa kabla sijajiunga jf nilikuwa nikisoma Kama guest nikawa najua wote humu ndani ni wanaume nikawa nikifikiria naona Ni ngumu mwanamke awe na ID eti ya JF na hata ID Nyingine ambazo za kike nikawa naamini itakuwa Ni wanaume tu wana act kujifanya wanawake wazingue watu.nimekuja kuanza kuamini juzi juzi Kama jf Kuna wadada tena wakali kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app