Hahahhahaah swali gani hilo unataka kumuanzishia thread au
Hapana mm dada akee
Kumjibiaje tenaa hayo maneno amemwambia beef lasagna mm hawezi kabisa kuniambia hivyoIla waweza utumia udada wako kwa shemeji...kwa kumjibia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf kwa hizi akili zako mi ntakutoa nisiwe kaka ako. Khaa!Hahahhahaah swali gani hilo unataka kumuanzishia thread au
Wala sijajifungia ndani mwaya.
Hahhaha usinitoe bwanaaa nitakufwa ujue ukinitoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf kwa hizi akili zako mi ntakutoa nisiwe kaka ako. Khaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
OhhhhhKumjibiaje tenaa hayo maneno amemwambia beef lasagna mm hawezi kabisa kuniambia hivyo
Jamaniii huku kwetu jotooo tuWala sijajifungia ndani mwaya.
Nipo huku sijui panaitwa Jamatini nakunywa.
Srma Dom kuna baridi...mwendo wa Mmasai tu
Yaan mm dada akee wordOhhhhh
Haya dada ake mrembo lasagna....
Itakuwa yuko kule Jf Chef....maana mdogo wangu yule kwa madikodiko nampa saluti
Pole mama.Jamaniii huku kwetu jotooo tu
Kuna jamaa amekuja kuipromote pestana IPO huko uzunguni .. Nataka baadae nikaonje mpiko... Haujiskii kujumuika hiviWala sijajifungia ndani mwaya.
Nipo huku sijui panaitwa Jamatini nakunywa.
Srma Dom kuna baridi...mwendo wa Mmasai tu
Miaka 800!!!Yaan mm dada akee word
Kuna mitaa kule nimekutana na binti anabusara Kama za Shadeeya nayeye kijuba kabisa avatar Jf wawili wawili aiseeeHahhaha usinitoe bwanaaa nitakufwa ujue ukinitoa
Uzunguni ndo Kisasa?Kuna jamaa amekuja kuipromote pestana IPO huko uzunguni .. Nataka baadae nikaonje mpiko... Haujiskii kujumuika hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyosema mambo ya baridi nimekutamaniPole mama.
Sema nini, Dar nimeliacha joto, dah!!!
Hatari.
Hahahhha anaitwa naniKuna mitaa kule nimekutana na binti anabusara Kama za Shadeeya nayeye kijuba kabisa avatar Jf wawili wawili aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio huko kisasa. Hii Ni mitaa ya kwa ndugai juu juu kule. FreshhUzunguni ndo Kisasa?
Ohhhh....asante.
Ila mie si unajua huku mgeni....
Ila ngoja niangalie uwezekano wa kuja, nitakutaarifu mkuu