Anavyoona I'd za majina matamu matamu Basi udenda huu hapa
Picha yangu umeileta huku kwa nini?[emoji849]wapo ndio
View attachment 979623
Wewe hawezi kukukopesha haahaaNimemuomba nami anikopeshe ila sijapata jibu [emoji23][emoji23][emoji23]
sawa Mkuu.
Hahahaa. Namuona tu anavyoserereka nayo.
Ewaaaaa.
πππSawa kaka endelea na mashairi
Mmmh. π³π³π³π³. Word si ulisemaga huna siri wewe sasa huko Pm wakikujibu sijui itakuwaje? ππ
Kaka yetu sio wa nchi hii jamaniiHahahaa. Namuona tu anavyoserereka nayo.
ππππKaka yetu sio wa nchi hii jamanii
Sio swali La kimbea.. Mambo ya maendeleoMmmh. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]. Word si ulisemaga huna siri wewe sasa huko Pm wakikujibu sijui itakuwaje? [emoji3][emoji3]
Sawa
Hahahaaaa[emoji23][emoji23]Me Mara ya Kwanza kabisa kabla sijajiunga jf nilikuwa nikisoma Kama guest nikawa najua wote humu ndani ni wanaume nikawa nikifikiria naona Ni ngumu mwanamke awe na ID eti ya JF na hata ID Nyingine ambazo za kike nikawa naamini itakuwa Ni wanaume tu wana act kujifanya wanawake wazingue watu.nimekuja kuanza kuamini juzi juzi Kama jf Kuna wadada tena wakali kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wewe ndiyo kisu chenyeweWengine sura za baba zetuuu[emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka sio wa mchezo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]