Lilipotokea seke seke la kukwepa ushuru wa makontena bandarini, wengi wetu tulitegemea kampuni ambazo zinahusiswha na mtoto wa mkulu zingekuwa implicated kwenye hili sakata. Badala yake tunasikia makampuni tofauti kabisa ambayo hayajawahi kuwa na connection na mtoto huyo wa mkulu.
Ndio nikashangaa kumbe jamii inaweza kuchafua taswira ya mtu kwa vijineno neno tu vizivyokuwa na uthibitisho. Hongera Mkwere angalau kwa hili la kampuni ambazo umehusishwa nazo kutokuwepo kwenye kashfa chafu ya kukwepa kodi...