Kumbe Kenya imemuuza yule zebra wa ajabu

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hizi rumours kwamba zebra wa ajabu kakimbilia Tanzania ni escapism tu, inadaiwa mamlaka za Kenya zimemuuza yule zebra na mama yake kwa wazungu nje ya nchi na kutengeneza habari fake kwamba katorokea Serengeti
 
S wakuchora huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe watu wameshampga change
 
Manyang'au wamepewa kitu kidogo.

Hawa ndugu zetu watakuja kuuzana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kumbe hizi nazo ni rumours
Huyo kwenye picture ni yule wa South Africa
Naaam! Kongole kwa kung'amua hilo baada ya kujiaibisha kwa muda mrefu. Ndio mkome kabisa kueneza pumba na porojo dhidhi ya Kenya. Kawaida yenu ni kwamba baada ya kusoma tweet chache za wakenya, ambazo hamzielewi, huwa mnajiona wajuaji utadhani ndio mmetoka kuvumbua mikate 'sliced'.
 


Huyu zebra kweli anasikitisha.....uchangudoa si kwa binadamu tu, Mama yake alionekana akifanya ule mchezo na twiga mafichoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…