Kumbe Kenya nayo bado ina watu washamba sana

Kumbe Kenya nayo bado ina watu washamba sana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hiki chuo cha Methodist Kenya kimejiwekea utaratibu wa mavazi kama wa Taliban.
20230111_125258.jpg
 
Mtoa mada mshamba sana yaani

Sijui ujanja uliotaka ni wanaume wavae hereni chuoni au?

SUA tupu hawakurusu uvae unavyotaka wewe
 
Back
Top Bottom