Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Ebwana eeh leo ndio nimeshituka kuona Kenya wana SGR kali kuliko Bongo. Katika pitapita zangu mjini Instagram nikakutana na post ya mdada mmoja mkenya anaelezea maisha ya utalii, gafla nikaona anaingia kwenye SGR train, kuona rangi ya behewa nikajua ni zile SGR zetu lakini wahudumu kidogo rangi zao zikanichanganya.
Kucheki bango la terminal limeandikwa Nairobi, nikadata, kuangalia ndani daraja la juu la Treni ni kama kwenye ndege. Terminal yao ya Treni imekaa kisasa.
Na unaambia SGR Train ya Kenya imeanza kujengwa mwaka 2017 na route yake ni kutoka Nairobi kwenda Mombasa. Ila sisi wabongo nyoso tunajitapa na SGR yetu kumbe majirani wana mashine kali ila wamechagua kukaa kimya.