Jana wakati Uhuru Kenyatta anaapishwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine, uwanja wa Kasarani ulikua umejaa pomoni. Lakini imebainika kuwa wengi wa waliohudhuria waliletwa kutoka nje ya Nairobi ili kuondoa aibu ya kuwa na watu wachache uwanjani. Aibu sana.