swali la msingi kabisaUnahitaji msaada gani mlalamikaji?
Bado ni wakenya walioletwa, sijaona tatizo
Angekuwa Magufuli tungesema analamizisha kupendwa.!Bado ni wakenya walioletwa, sijaona tatizo
hii ndio inaitwa career ending tackleππππUnahitaji msaada gani mlalamikaji?
magufuli.....What is in Africa?
hata mimi kuna kutu kili-click kichwani mwangu baada ya kuona ile hype waliyokuwa nayo wale watu....nilijua tu kuna mipango ilifanyika maana sio kwa kushangilia kule.Jana wakati Uhuru Kenyatta anaapishwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine, uwanja wa Kasarani ulikua umejaa pomoni. Lakini imebainika kuwa wengi wa waliohudhuria waliletwa kutoka nje ya Nairobi ili kuondoa aibu ya kuwa na watu wachache uwanjani. Aibu sana.
Haahah...wamezoea kubeba watu hadi kwa campaign zao...bure kabisahata mimi kuna kutu kili-click kichwani mwangu baada ya kuona ile hype waliyokuwa nayo wale watu....nilijua tu kuna mipango ilifanyika maana sio kwa kushangilia kule.
Sijaelewa alikuwa na maana gani, kwa sababu huyu ni rais wa wakenya wote popote pale walipo iwe Mombasa, Kisumu, Kericho, au kule Garisa, na pia hii inaonyesha mshikamano na umoja kwa wakenya woteHehehe!! Jamaa amekimbilia kuanzisha uzi hadi ungedhani Waganda au Watanzania ndio walikusanywa na kuletwa Nairobi, kumbe ni Wakenya wa kutokea Kenya walikusanyika kuhudhuria uapisho wa rais wa Kenya kwa ajili ya Wakenya.
Tofautisha kuapishwa (shughuli ya kitaifa) na kwenda kuzindua lile daraja la Mwanza, nafikiri unajua kuwa kwa shughuli za kitaifa kama siku ya uhuru watu utoka pande zote za taifa, hakuna anayeza kulalamika katika hiliAngekuwa Magufuli tungesema analamisha kupendwa.!
Hatukawii kuhamisha Magoli.