Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
yah...
Nimeisikia kwa watu kama wawili wakilalamikia hii kuwa ukiweka ni sawa na kunywa chai yenye kijiko kimoja cha sukari lakini ukitoa inakuwa vijiko vitatu
sijakuelewa.........hamu inazidi au ndiyo inapotea kabisa?
wanasema unapotumia vidonge hamu inapungua ndio maana nimefananisha na less sugar na wakati wa tendo lenyewe hawapati ladha halisi kama ambavyo inakuwa hawatumia vidonge au vipandikizi hivi
Alaa, kumbe bana!
ni kweli yaani haya madude yana faida na hasara zake
this sexual life is really dead and buried...........................
look for yourself....................
Umeshatoka kanisani mkuu? Ama ndo kutoa ng'ombe zizini siku ya sabatho? This photo looks a bit too much for this forum though
ni kweli yaani haya madude yana faida na hasara zake[/QUOTE
Please dont call them madude FL kwa sababu faida zake ni nyingi sana zaidi ha hasara, na kabla ya kuanza njia yoyote ya uzazi wa mpango ni vizuri kufanya vipimo na endapo utaonekana fit ndo uanze hizo dawa hii itapunguza baadhi ya adverse effects.