Kumbe kifupi cha FAFO ni kuwakumbusha Who Are YOu

Mnamsifia huyu babu ila anachokifanya ni ujambazi wa mchana kweupe.

Unakamata kiongozi wa taifa jingine na kujitwalia mafuta??
 
Mnamsifia huyu babu ila anachokifanya ni ujambazi wa mchana kweupe.

Unakamata kiongozi wa taifa jingine na kujitwalia mafuta??
Bado aje TZ amnyakue Bi Kidude, ajitwalie URANI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…