Jizaaz! Siamini macho yangu hadi wana barabara za lami?Kuna jamaa yangu ameenda Kinshasa kwa shughuli zake.sasa kanirushia picha za huo mji,ebana kumbe Kinshasa iko vizuri kuliko miji mingi tu hapa Africa ikiwemo Dar yetu.
Ukitembelea suburbs ndio utalia. Kila mkongomani anakuja kinshasa na kuishi mabondeni na milimani vijumba vya ajabu. Yakija mafuriko wanasombwa kama karatasi hadi huruma. Ila downtown kumejengwa vizuri plan ya miji ya ubeljiji.Kuna jamaa yangu ameenda Kinshasa kwa shughuli zake.sasa kanirushia picha za huo mji,ebana kumbe Kinshasa iko vizuri kuliko miji mingi tu hapa Africa ikiwemo Dar yetu.
Rwanda pr nyingi . Nje ya Kigali hakufai [emoji16]Hata Kigali ukifika utaweza sema Rwanda yote nzuri
Kweli aiseeKuna jamaa yangu ameenda Kinshasa kwa shughuli zake.sasa kanirushia picha za huo mji,ebana kumbe Kinshasa iko vizuri kuliko miji mingi tu hapa Africa ikiwemo Dar yetu.
Ni ushamba kuzani barabara za juu na madaraja ya baharini yanafanya mji kuwa mzuri.Bongo maneno mengi ilihali mambo ya kawaida kabisa. Mwendazake alijaribu kuiboresha kwa kujenga barabara za juu, stendi za kisasa na upanuzi wa barabara mkaanza kelele.
majiji ya Tanzania yanahitaji big renovation projects.
Msukuma utamjua tu ....hakuna project mpya aliyoanzisha yeye amekuta mipango yote tayari....ametekeleza tu.....mpango mpya ni daraja la busisi tu...familia mambo.Bongo maneno mengi ilihali mambo ya kawaida kabisa. Mwendazake alijaribu kuiboresha kwa kujenga barabara za juu, stendi za kisasa na upanuzi wa barabara mkaanza kelele.
majiji ya Tanzania yanahitaji big renovation projects.
ππππBongo maneno mengi ilihali mambo ya kawaida kabisa. Mwendazake alijaribu kuiboresha kwa kujenga barabara za juu, stendi za kisasa na upanuzi wa barabara mkaanza kelele.
majiji ya Tanzania yanahitaji big renovation projects.