Infact maelezo mengi inhusu mafanikio yake huyo jamaa, Na ni fundisho zuri kwa kweli, lakini kuna masomo mengi mazuri tu ya vitunguu saunu. Jaribu kuandika KILIMO CHA VITUNGUU SAUMU kwenye Google.Aisee safi sana.
Vipi hiyo Video inahadithia mafanikio yake au inaonyesha jinsi ya ulimaji wa kitunguu swaumu?
Nipo very interested kuja kufanya kilimo huko....je gharama zikoje kwa ekari moja ya vitunguu maji?Jamani watanzania ifike mahali tuache maneno mengi tufanye kazi....mimi kwasasa niko shambani niko nalima japo kwasasa nimejikita kwenye kilimo cha hoho ila mwaka huu nalima tangawizi pia....rai yangu kwa yeyote anayetaka kujifunza aje hapa IGAWA - MBEYA atajifunza mengi sana kuhusu kilimo cha umwagiliaji....hapa watu wanalima sana vitunguu(maji)...japo sijaona mkulima mzuri wa vitunguu swaumu....lakini pia hapa maji yapo mwaka mzima.
karibuni sana tulime kisasa....kilimo kinalipa sana...atakaye taka kuja igawa kujifunza nitampa ushirikiano wa hali ya juu with maximum care and security
Naomba uni PM namba yako ili tuyajenga mkuu....jambo la masoko ya uhakika ni la muhimu sanaKiongozi naomba kuja kujifunza ninasoko kubwa la mazao kwa mawasiliano zaidi ntmgenesis@yahoo.com ili tupeane contacts.
Huwa wanaongea kirahis rahisi lakini kutoa mkopo ni ngumu sanaJaribu na benki ya kilimo maana wamejipambanua vyema kwenye kuinua wakulima waina nyingi unaweza pata unachowaza, usisite.
Kwa Tanzania ninachokiona mimi ni kwamba mazao mengi yanakua na bei nzuri kuanzia mwezi January mpaka April mwishoniKilimo chochote kinalipa ila unatakiwa ufanye research ya soko kabla hujaamua kulima zao husika,pia ufanye research ya changamoto
Hoho Dar Haioti. Hoho ni Iringa labda na mbeya. Mimi nilikuwa mlanguzi wa Hoho mashambani na kuuza Sokoni pale Sambusa-Kigogo..Mkuu marejesho vipi kilimo cha hoho, ulifanikiwa? nami nataka kulima hoho. Ila ni beginner kabisa kwenye kilimo, naomba unipe uzoefu wako katika zao hili. Nipo maeneo ya Dar. Najipanga kutafuta shamba pembezoni mwa Dar. Ahsante
5000Kilo moja ya kitunguu swaumu ni shilingi ngapi sokoni
Wakwambie ulete ushindani sokoni..Jamani naomba mtu ambaye ameshalima kitunguu swaumu snipe ABC zake!!! Km Wapi ananunulia mbegu bora. Madawa yanayotumika, hatua za uupandaji mpk kuvunA, vitu vya kuzingatia ktk hiki kilimo, heka moja inaweza gharimu kiasi gani? Na hiyo heka inaingia mbegu kiasi gani?!!! Ntashukuru kwa Masada wenu
Nadhani bora ujaribu kitunguu swaumu kuliko tangawizi, sasa sokoni swaumu ni elfu 6000 kilo wakati tangawizi ni 2500 kilo, hii inashtua kdgoNgoja tujaribu