MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 631
- 1,263
Ninacho kijua mimi kuhusu kilimo kwa ujumla wake na tunapo kosea ni kwenye suala zima la uzoefu mfano kwa mtiririko alio elezea hapo mdau jua kabisa kuna muda wa kujifunza then mafanikio unaweza kulima hata misimu 3 bila kupata faida then wa 4 ukapata super profitNakazia hapa. Ukiona unapewa mbinu hivi jua hakuna jambo humo.
Ninacho kijua mm kuhusu kilimo kwa ujumla wake na tunapo kosea ni kwenye suala zima la uzoefu mfano kwa mtiririko alio elezea hapo mdau jua kabisa kuna muda wa kujifunza then mafanikio unaweza kulima hata misimu 3 bila kupata faida then wa 4 ukapata super profit
@Regrann from @kilimochavitunguu - Habari wapendwa
SEMINA YA KILIMO CHA VITUNGUU
Je unahitaji kulima Vitunguu na hujui pa kuanzia? Tutaweza kukupa semina ya mwezi mzima kabla ya kuanza kulima Vitunguu ili uweze kupata faidi kwenye zao hilo.
JIKWAMUE NA KILIMO CHA VITUNGUU kwa kukamata fursa, wewe unayehitaji kujikwamua kupitia kilimo cha vitunguu maji. Tutakupa mwongozo, ushauri na utapata kujua mwanzo mpako mwisho kuhusu ulimaji wa vitunguu maji na jinsi ya kupata mazao mengi. -Utapewa budget nzima ya mtaji wa vitunguuvitunguu
-jinsi ya kupata shamba la kukodi zuri na kiurahisi
-Aina ya madawa ya kutumia kwenye vitunguu
- jinsi ya kuhudumia shamba lako
-mwongozo wa kuuza na kupata wateja kirahisi
-tutakuunganisha na wenye mashamba,vibarua,madalali wa vitunguu na bodaboda waaminifu watakao kusaidia kwenye usafiri utakapo wahitaji(kwa eneo la Ruaha)
-utaweza kupewa ushauri endapo utakwama kwenye kipindi utakachokuwa unalima vitunguu na mengineyo mengi
Kwa sh 35000/= kwa mwezi
Namba 0656384712
Follow @kilimochavitunguu @kilimochavitunguu - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]
Ndo bei yake. Ila najiuliza kwanin watu wengi hawalimi? Sijaona mchanganuo wake humu. Mungu akisaidia nilipanga mwakani nilime hili zao. Sahivi nakusanya ABC za hii biashara
mbegu ya robo heka ni kiasi ganiInawezekana mkuu, na hiyo ni njia nzuri ya kujua kama hili zao linakubali kwenye eneo lako au la . PM namba yako kwa mazungumzo zaidi
Kg 100mbegu ya robo heka ni kiasi gani
MmmhKilimo ni kitamu kwenye A4,PC na simu ila uhalisia ukiwa na hasira Kali jiandalie na kamba kabisa.
HahahahahahahaDuh we ajuza upo? Nilitaka kukutangazia Tanzia hapa JF!!!!
80,000/- unapata mbegu ya kupanda eka ngapi?Gharama ni kubwa mkuu, debe moja la mbegu 80,000
Tafuta mtaalamu au mtu mwenye uzoefuVina usumbufu mwingi