mapenz matam
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 214
- 258
ASANTE MKUU KWA KURUDI NA MREJESHOkaribu
Hakuna kilimo ambacho hakijawahi kujadiliwa humu. 'search kilimo unachotaka utasoma na kutosheka bila ya kuhitaji tena hao wataalamu'
Boss ilikuwaje? Mpaka sasa bado unalima kitunguu swaumuWadau nipo shambani nalifanyia kazi hili suala. Inshaallah tuombeane heri ntawapa mrejesho
Naomba mrejesho mkuushukrani kwa taarifa mkuu. mwaka huu inabidi nilime.naona huwa haungii sana humu, naomba uni pm namba yako nami ntakupm yangu.
Jaribu na benki ya kilimo maana wamejipambanua vyema kwenye kuinua wakulima waina nyingi unaweza pata unachowaza, usisite.dah, hiki ni kikwazo sana japo return yake ni kubwa. ingetokea benki inasupport horticulture ingekuwa poa sana.