Kumbe kombe lao

Kumbe kombe lao

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
INAONEKANA HII MICHEZO YA KUNYAKUA JUMLA YANGA INAIMUDU SANAA
๐—ฌ๐—”๐—ก๐—š๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—˜๐—ช๐—” ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—˜ ๐—๐—จ๐— ๐—Ÿ๐—”

Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu.
โœจ Yanga SC watakabidhiwa kombe hili JUMLA JUMLA na kuliweka kabatini.

Wadhamini wakuu (NBC) na bodi ya ligi watachongesha kombe lingine la namna hii baada ya klabu hiyo kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara mara (3) mfululizo.

Mabingwa wa ligi kuu ndani ya miaka (32) :

โ—‰ 1991 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 1992 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 1993 - Young Africans - ๐Ÿ†

โ—‰ 1994 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 1995 - Simbs SC - ๐Ÿ†

โ—‰ 1996 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 1997 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 1998 - Young Africans - ๐Ÿ†

โ—‰ 1999 - Mtibwa sugar - ๐Ÿ†
โ—‰ 2000 - Mtibwa sugar - ๐Ÿ†

โ—‰ 2001 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2002 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2003 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2004 - Simba SC - ๐Ÿ†

โ—‰ 2005 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2006 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2007 - Simbร  SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2008 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2009 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2010 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2011 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2012 - Simba SC - ๐Ÿ†

โ—‰ 2013 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2014 - Azร m Football Club ๐Ÿ”ต - ๐Ÿ†

โ—‰ 2015 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2016 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2017 - Young Africans - ๐Ÿ†

โ—‰ 2018 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2019 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2020 - Simba SC - ๐Ÿ†
โ—‰ 2021 - Simba SC - ๐Ÿ†

โ—‰ 2022 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2023 - Young Africans - ๐Ÿ†
โ—‰ 2024 - Young Africans - ๐Ÿ†
2025
2026
2027..... mpaka.waseemee pooรฒ
 
Aisee kumbe kikapu cha makombe ni mali ya Yanga!
Kampeni ya kubeba jumla kikombe kipya kinachochongwa inaanza tena msimu ujao, Yanga kiboko yao!
 
Aisee kumbe kikapu cha makombe ni mali ya Yanga!
Kampeni ya kubeba jumla kikombe kipya kinachochongwa inaanza tena msimu ujao, Yanga kiboko yao!
Yaan hatareeee sanaa
 
Back
Top Bottom