Kumbe Kontawa kakopi na kupaste wimbo wake Champion kutoka kwa Fireboy

Kumbe Kontawa kakopi na kupaste wimbo wake Champion kutoka kwa Fireboy

Hazifanani kabisa ujumbe wa fireboy ni tofauti kbisa na KONTAWA
 
Kuwa inspired sio vibaya kama katoa inspiration huko halafu akafanya his artistic creativity its very ok. Aint nothing wrong with that.
 
Hazifanani hata kidogo hata alicho imba kontawa na kilicho imbwa na fire boy ni tofauti kabisaaaaa, sasa huo mfanano sijui uko kwenye nini hasa
 
tatizo la kuskiliza ngoma kwenye spika za kichina, mabiti yanafanana hayo?
 
Kinachofanana Ni Jina La Wimbo tu,Kuhusu Melody Hata Hazifana.Key Tofauti Kabisa.Kuhusu Mwendo wa Beat Ni Kawaida Tu Trap.
 
Back
Top Bottom