Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nimeskiliza wimbo wa Champion wa FireBoy DML & D Smoke, kuanzia beat, melody na kila kitu ni kama Champion wa Kontawa, hivi wasanii wetu wanafeli wapi?
Cheki hapo juu.Ungeziweka zote pamoja tusikie hii then Ile, ila huu ugonjwa muasisi ni diamond