kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi magumu na nikakata ile chain ya wale washikaji na sasa ni miezi mitatu sijagusa pombe.
Faida nilizozipata tangu niache pombe ni pamoja na kupata muda mwingi kuwa na familia yangu,afya ya akili inakua sawa muda wote,ufanisi katika shughuli zangu za kila siku pamoja na kufanya saving ya kipato changu.
Asanteni.
Soma Pia: Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe