Hata mimi nina miezi mitatu pia. Ila marafiki wengine nawaambia nimepumzika ili kuweka mwili sawa, wengine nawaambia nimeacha kabisa.
Ila ukiwaambia umeacha wanasikitika sana.