Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai amesema maamuzi ya klabu hiyo kuachana na kocha Miguel Gamondi hayajatokana na matokeo ya kupoteza mara mbili mfululizo dhidi ya Azam na Tabora United.
Ngai amesema Kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuchukua maamuzi hayo huku akigoma kuziweka wazi na wanamtakia kila la kheri kocha huyo.
Soma Pia:
Ngai amesema Kuna sababu nyingi zilizowapelekea kuchukua maamuzi hayo huku akigoma kuziweka wazi na wanamtakia kila la kheri kocha huyo.
Soma Pia:
- Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi
- Kocha Kheireddine Madoui wa CS Constantine kuchukua Mikoba ya Gamondi Jangwani
- News Alert: - Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga