GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
*Mliokuwepo hapa Kanisani Jumapili iliyopita mtakumbuka nilitabiri kuwa kutatokea Misiba ya ghafla ya Watu wazito na kama mlivyoona imetokea kweli hivyo nawaombeni leo tusali sana kuomba Baraka ya Uhai kwani bado naliona Wingu la Misiba mingine ipo" alisema Kuhani Richard Mwacha jana Ibadani Mchana.
Chanzo: Television yake Mubashara
Nami GENTAMYCINE namuomba Kuhani Richard Mwacha anipe tu muelekeo wa hiyo Misiba ijayo aliyoiona Kimaono kuwa je, itakuwa ni Mikoa ya Pwani ( Bagamoyo, Chalinze hadi Mkuranga ) au Masaki, Johannesburg hadi Monduli au Magogoni, Chamwino hadi Unguja Zanzibar au ni wapi?