Kumbe Kuhani Richard Mwacha alitabiri Weekend iliyopita hivi Vifo Viwili vya ghafla?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
*Mliokuwepo hapa Kanisani Jumapili iliyopita mtakumbuka nilitabiri kuwa kutatokea Misiba ya ghafla ya Watu wazito na kama mlivyoona imetokea kweli hivyo nawaombeni leo tusali sana kuomba Baraka ya Uhai kwani bado naliona Wingu la Misiba mingine ipo" alisema Kuhani Richard Mwacha jana Ibadani Mchana.

Chanzo: Television yake Mubashara

Nami GENTAMYCINE namuomba Kuhani Richard Mwacha anipe tu muelekeo wa hiyo Misiba ijayo aliyoiona Kimaono kuwa je, itakuwa ni Mikoa ya Pwani ( Bagamoyo, Chalinze hadi Mkuranga ) au Masaki, Johannesburg hadi Monduli au Magogoni, Chamwino hadi Unguja Zanzibar au ni wapi?
 
Acha kutuchulia wewe na mpigaji Musa wako. Labda itokee Mara.
 
Manabii matapeli hawa

Mungu hajawatuma , Kama nabii unaona vifo ,je ulifanya Nini kuvizuia ,wewe si Ni nabii?

Had hapo unaona jamaa Ni Tapeli
 
Wanapewa info na watu wa ndani sana ya serikali halafu wanazigeuza kuwa unabii.. Nabii wa uongo wengi wanatumia njia hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…