Kumbe kumuua kiongozi wa nchi au kuindoa Serikali madarakani ndio uhaini

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Baada ya kusikia kuna Watu wanataka kufunguliwa Mashtaka Mahakamani ya UHAINI nilitaka kujiridhisha ni Makosa gani yakifanywa ndio unaitwa UHAINI?

Jibu ni Kumuua Kiongozi wa Nchi AU kutaka KUINDOA Serikali iliyopo Madarakani.

Je, hao wanaotaka kushtakiwa wamefanya Makosa hayo ?Ngoja tusubiri.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…