comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hiyo mbaya sanaYoote sababu sisi ni wazee wa...haina shida Mungu yupo
Kuhusu Kodi ni wajibu wetu kulipa, maana hata huko mambele wana lipa sana tu, tatizo la inchi yetu tuna kamliwa hasa lakini c.a.g akitoka report yake haifanyiwi kazi, ni Bora hata hicho kitengo kiondolewe maana sioni umuhimu wake kabisa.Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!
Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.
Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??
👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana unaweza ukakufanya ukaacha ndala.
Kulipa Kodi hamna ambae hataki, ishu ni kukamuliwa hizi sio Kodi ni matesoKuhusu Kodi ni wajibu wetu kulipa, maana hata huko mambele wana lipa sana tu, tatizo la inchi yetu tuna kamliwa hasa lakini c.a.g akitoka report yake haifanyiwi kazi, ni Bora hata hicho kitengo kiondolewe maana sioni umuhimu wake kabisa.
Ngoja tuoneTunakaribia kufika tunapopataka.
Soon wote tutaongea lugha moja!
Kujiajiri ni kugumuKiukweli ukiwa mfanyabiashara kodi zitakunyoosha tu.
Sio hiyo tu, na zingine zote zinafika sehem husika na kifanyiwa kazi za maendeleo?Naomba kuulize je hiyo pesa ya kodi ya basata inawafikia wasanii?
Hiyo haiwezekaniMwambie kwenye pub yake awe anaweka miziki ya mbele tu
Ni mzigoHii nchi ina kodi nyingi kuliko faida yenyewe, too many regulations zinazofanya vijana waogope kabisa kujiajiri.
Kuna Basata Kuna Cosota, ni km zinafanana hvKwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!
Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za wasanii wa Tanzania kwenye biashara yake.
Nikasema kama ndio hivyo wasanii wa nnje nao wakisema wafanye hivyo itakuaje??
👇
Kwa ninavyoona life la bongo, kama unapanga kuingia kwenye biashara inatakiwa ujipange kisaikolojia, tukiachana na ughali wa Kodi ya pango kwa mwenye nyumba Kuna mzigo mwingine mzito sana ambao unaweza ukakufanya ukaacha ndala
sikuhizi wafanya biashara wengi wanawaonea wivu Hadi walimu wa msingi wanaona Wana maisha mazuri, Wana uwezo wa kukopa mikopo, na ni wafanyakazi wa serikalini.