Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

Hope umewapata , ni tofauti na Basata ila wote Wana deal na KAZI za Wasanii
Basata kudai Kodi ni uonevu sababu tayari Yuko Cosota anayechukua mirabaha ya Wasanii

Nimewahi kufanya kazi na Cosota najua walahi ABC
Nimewajua kwa kuona hilo neno tu ila siwajui kinagaubaga! Basata ukakusanye kodi bar, wakusanya kodi wapunguze tamaa! Heri wewe unaowajua fikiria mtu asiye na hiyo elimu anawajuaje?
 
Serikali haramu ina mambo ya hovyo sana
 
Nimewajua kwa kuona hilo neno tu ila siwajui kinagaubaga! Basata ukakusanye kodi bar, wakusanya kodi wapunguze tamaa! Heri wewe unaowajua fikiria mtu aisye na hiyo elimu anawajuaje?
Iko hivi, kumbi zote au SEHEMU zote zinazotumia muziki kama kiburudisho Kwa mteja basi atatakiwa kulipia kiasi Fulani hv Cha pesa , Kwa saloon na Grocery ilikua 50k ,Bar , lounge,pub,100k hizi walikua wanakusanya Cosota na mwisho wa mwaka ,wasanii wanapata gawio kama umewahi kusikia msanii kapata gawio
Hiyo ni kwa Cosota
Sasa nashindwa kujua au kuelewa Basata anakusanya hy Kodi kwa ajiri ya Nini ? Ningejua Basata wao ni kwanini walau tungelinganisha na Cosota
 
Ahaa hapo sawa! Cosota wako sahihi, ila sijaelewa kwanini wakusanye kodi salon wawape gawio wasanii..

Hawa Basata wanakusanya kwaajilinya miziki eti, hii nchi kodi ni nyingi sana aisee!
 
MBONA KUNA KODI HADI YA BAKWATA NAJUA WASIHARAMU WATABISHA
 
Huyo mfanyabiashara anayemuonea wivu mwalimu wa primary anakuwa anafanya biashara gani kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…