Nakufuatilia kwa karibuUngemuuliza yeye mwenyewe nahisi ndo ungepata majibu sahihi
Nilikua nakuja kukutag.Ungemuuliza yeye mwenyewe nahisi ndo ungepata majibu sahihi
Jamani ππππNakufuatilia kwa karibu
Hahahπππ,, nishawahi seat tayari πNilikua nakuja kukutag.
wanawake waache TU mkuu, huwezi waelewa watakushangazaNilishangaa nilipokutana na mdada ambae tunajuana miaka na miaka, leo nashangaa ana mwanya, khaa, haya kautoa wapi? Wanachonga meno au wanatanua? Lakini pia wanatafuta nini?
Ungemuuliza yeye mwenyewe nahisi ndo ungepata majibu sahihi