Kumbe kuna sigara zina harufu ya pipi?

Kumbe kuna sigara zina harufu ya pipi?

Sasa kama kuna kondom zinanukia strawbery, ndizi na machungwa watashindwa nini kutengeneza sigara zenye harufu ya pipi? Watengeneze hata zenye harufu za pafyumu
 
Sigara hata inukie nini bado utakua taahira kuivuta! " Onyo uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako "
 
Mimi huwa nachukia pombe na sigara sasa leo nimehisi halufu ya sigara mzuri achana na hizi wanazo vuta vijiwe vya kahawa je hizi hazi madhara?

Sigara ni sigara tu, hizo harufu ni kupumbaza tu watu wavutike kuvuta sigara
 
Back
Top Bottom