EDWARD DESMOND
Member
- Sep 9, 2016
- 22
- 35
Tuelezee vizuri tueleweKumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua magari yao katika bandari kavu (CFS).
Ukiona watu wanakurupuka utafikiri paka aliyefumaniwa akiiba mboga ni mtu kama huyu maana haeleweki anazungumza niniKumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua magari yao katika bandari kavu (CFS).
Kabla ya hapo ilimbidi mtu alipe gharama za bandari na za bandari kavu. sasa ukilipa gharama za bandari tu then unatoa mzigo waku hakuna bandari gavu tena. niunafuu mkubwa kwa wateja wetuMmh Mkuu hujaeleweka..jazia nyama habari yako
Ni kweli kuna decline ya cargo.. Lakini unaposema relative to Mombasa au bandari nyingine tayari argument yako inakuwa weak sababu unakuwa hujaweka all the facts kuonyesha how was Mombasa before and now na pia same thing kwa Darisalama. Data ulioshare ni kama kujaribu kufanya comparison of absolute numbers ambayo ni ngumu kuitumia kuamua kwamba kuna decline ama growth relative to others. You are talking of absolute numbers ambazo kuzilingalisha ni makosa kama haujatoa details kidogo kukusu context ya vitu viwili unavyofananisha. Ni sawa na kusema mkoa wa Dar unaingiza hela nyingi kuhusu Morogoro kwa hiyo Morogoro uingizaji hela umeshuka..Argument ya aina hii ni weak...Kwenye Context unapaswa kutoa details za ukubwa na mambo mengine ili watu waweze kuona kwamba context ya Morogoro na Dar ni sawa kufanya absolute comparison.Fatilia hii link uteelewa hali ya bandari ikoje sasa tz
*Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia*
=http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports]http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports[/URL]