Kumbe kuna vyuo vinaruhusu kufanya application bure kabisa?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Habari za muda huu vijana,

Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu kilichonistaajabisha ni nikukuta application zao ni bure kabisa for certificate, diploma na undergraduate inaonesha wameanza bure tokea first round.

Hivyo kwa wale wapenda kitonga na kama uko interested na hiki chuo unaweza kuomba kwa kuingia www.stemucco.ac.tz

Naamini kuna vyuo vingine pia vinavyoruhusu maombi free bila ada yoyote basi tusanuane wajuba maana hizi 10,000 kwa kila chuo si kitoto.
 
IAA, Mwenge, Moshi Cooperative University, University of Iringa, vyote hivyo pia ni bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…