Kumbe kuna walimu ni boda boda

sijaona ubaya hapo kwani wapo pia wengine wanamiliki biashara mbalimbali na sio walimu tu. baba riz1 mwenyewe ni bonge la mjasirimali. tukumbuke kuwa walimu ni binadamu kama wengine na wanamajukumu kama mimi na wewe...
 
mbona mnatufatafata walimu jamani. Fanyeni yenu elimu na ualimu tuachieni sisi na serikali tutamalizana kiutu uzima. Wamemwaga ugali sisi tunajua tufanyeje. Chezea mwl ww

sent from my blackberry 9800 using jamiiforums

kudadadeki.......!!!!!!
 
Mwenyewe mwalimu,bodaboda napiga kama kawa!Ninazo kama 5,moja naendesha mwenyewe!asubuh na wahi kusign then there after natafuta vichwa!Kazi tumeacha tumebaki na ajira!Kwani JK na Pinda si walisema tuache kazi kama haturidhiki na mishahara?Ndiyo kazi tumeacha,tumebaki na ajira zetu mpaka hapo serikali itakapotusikiliza.
 
Daffi upo mkoa gani? je unawafahamu walimu wangapi uko kwenu wanaofanya kazi ya boda boda kama wewe.
 
Daffi upo mkoa gani? je unawafahamu walimu wangapi uko kwenu wanaofanya kazi ya boda boda kama wewe.

Hahaha!ukute unanipeleleza!Mkoa achana nao!but walimu wako wengi sana!niko nao kitaa sa hv tunasubiri vichwa!Ya mbayuwayu changanya na zako.
 
Hahaha!ukute unanipeleleza!Mkoa achana nao!but walimu wako wengi sana!niko nao kitaa sa hv tunasubiri vichwa!Ya mbayuwayu changanya na zako.
sio ya kwamba nakupeleleza upo wapi,nafanya kautafiti kuhusu hili jambo la walimu kuwa bodaboda,nataka kujua lina ukubwa gani apa nchini na mikoa gani limekithiri zaidi,anyway thanks kwa kunipa general picture ya kwamba ni wengi
 
Ukisikia ubunifu kwa mwalim ndo huo.mbona hamsemi waziri kuwa mbunge?au ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
 
yaani nimekubali huu kweli ni ubunifu,nimekutana leo na mwalimu mwingine apa mwanza ambaye pia anafanya bodaboda ananiambia kwa siku anaingiza kati ya elfu 30 adi elfu 40, kwa mwezi anapat si chini ya 1M,anafikiria kuachana kabisa na ualimu.
 
walimu wenye bodaboda safiiii...!pigeni kazi achaneni na maneno ya kwenye KANGA. ukiona mwanao hafundishwi mpeleke medium.kule ada mil 3 mwalimu analipwa si chini ya milioni.wanasiasa wanawapumbaza na magofu waliyowajengea na ada ya 20000 kwa mwaka na nyie mnakenua.watoto wao wapo kwenye hzo shule?
 
Si bodaboda tu hata walimu madeiwaka wa daladala wapo. wanafanya kazi jioni hadi wakati wa kurudisha gari. ni kweli kwa namna hii elimu itashuka maana muda kama huu mwlimu angeweza kuwa anaandaa smo lake
 
kweli tanzania ni maajabu ya 8 dunia.
 
Rais mfanyabiashara tena chafu....
Makamu wake Mfanyabiashara tena kinyume na katiba...
Mawaziri wote ni wafanyabiashara tena chafu....
wakuu wa mikoa/wilaya wafanyabiashara tena chafu....
watoto wao( rais,makamu,PM,mawaziri,) wafanyabiasha tena chafu...
walimu baada ya kuuza ubuyu,ukwaju,vitumbua sasa wameadvance kwenye boda to boda safi sana kila mtu atabeba mzigo wake....
 
BORA WAJITAFUTIE KIPAPO CHA ZIADA MAISHA YENYEWE MAGUMU,MTWARA NILIPOKUWA SAFARINI HUKO NILISHUHUDIA MWALIMU MMOJA NI BODA BODA MAARUFU NA ANAJITUMA KWELI NA ANAENDESHA TUITION
:yo::yo::yo::yo:
 
yaani mwalimu wa cerificate anayeanza kazi analipwa 250,000 kabla ya makato kwa mwezi,kweli walimu kazi mnayo.
 
kaka mimi sishangai ninaona hakuna shida. Misri maafisa wa benki wanaendesha tax baada ya kazi wengi tu
 
hapa moro. kuna zaidi ya polisi 10 na mmoja ni v3 na wawili nyota 1. kuna wanajeshe jwtz zaidi ya 5 niowafahamu siowalim
 
kaka mimi sishangai ninaona hakuna shida. Misri maafisa wa benki wanaendesha tax baada ya kazi wengi tu
shida ni walimu kufanya kazi ya boda boda muda wa kazi
 
hapa moro. kuna zaidi ya polisi 10 na mmoja ni v3 na wawili nyota 1. kuna wanajeshe jwtz zaidi ya 5 niowafahamu siowalim
hebu fatilia zaidi inasemekana idadi ya walimu bodaboda ni karibu kila mkoa,na wanafanya kazi iyo ata muda wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…