Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

Ulijua wajinga hufa wakiwa vijana?
Huwa wanazeeka pia
 
Huyo alikuwa anatafuta mapoozeo tu. Kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani. Mwanamke ukiweza kutofautisha haya wala haikusumbui.
Hata mimi nimehisi hivyo maana kuhusu ndoa alikuja kuniambia baadae hadi tukae kwanza anichunguze, yaani tuwe hata tunaishi wote, hapo nikawaza huyu anataka kunichakaza.
 
😀 Inasikitisha sana.
Alilia sana na kujutia hajawahi kuheal kabisa maana hakuna mwanamke atakayeweza kumvumilia kama niluvyomvumilia mimi, yaani mtu wivu mwingi kuhudumia kwa manati😂😂 sema alinikutaga bado sina akili vizuri.
 
Achana na huyo Mzee njoo kwangu nitakuwa nakupaisha mawinguni Kila tunapotenda tendo la ndoa.
 
Demu asipende story za mizagamuo na sio msabato, acha kutupanga ww.
 
Funga macho, nenda tu ! Vijana wanaisugua ila hawana cash , huyo mzee anaweza kuweka hapo mkono pakakucha bila bila na utahudumiwa vizuri
Inavyoonekana huyu anapenda sana mizagamuano asije akanikeshea akhaaa, sitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…