Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Wewe unataka kupanda milima ya Kibangu tu?Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.
Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.
Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.
Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.
Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.
Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Majaribio gani tena?!Ndiyo sitaki majaribio mie
NyieWakina nani?
The roof of Africamlima kilimanjaro
Dah! Mnatusingizia sasa😪😪Tafuta watoto wenzako wakuoe, achana na sisi wazee, kwanza hamshindwi kutuua nyie.
Yaani na mi mvi yake nimuite kijana loh🥲Sasa miaka 46 ndio mzee mbona unataka kunizeesha binti sayuni, unataka uninyime nini?
Hayo hayo ndegeMajaribio gani tena?!
Kijana gani mvi zimemjaaMimi nimekereka tu kumuita kijana wa miaka 46 mzee. Mwanaume mwenye miaka46 ni kijana mdogo sana acha kumzeesha.
Sitaki kupandishwa mlima wowote mieWewe unataka kupanda milima ya Kibangu tu?
Wenzako wanatuita "kijana wa zamani"!! We olewa na vitoto vyenzako tu!Yaani na mi mvi yake nimuite kijana loh🥲
Sitaki vitoto, awe mtu mzima ila asifike hizo 40 naWenzako wanatuita "kijana wa zamani"!! We olewa na vitoto vyenzako tu!
Asipo ongelea ngono atapoteza TOUCH kama yule wa 53yrs alie ambiwa akivua cheni napoteza TOUCHWakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.
Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.
Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.
Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.
Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.
Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
We una umri gani?Yaani na mi mvi yake nimuite kijana loh🥲
Jitahidi kula Bamia na MtindiSitaki kupandishwa mlima wowote mie
Na mie nakula ujana, angeenda kukuchuna ngoziWakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.
Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo.
Mwanzoni aliniambia yuko tayari muda wowote nikikubali tu atanioa, baadae baada ya kuwasiliana naye akawa ananipigia usiku ananiambia niende kwake au aje kwangu mimi niligoma, kingine alikuwa anaongelea sana the way atakavyonifikisha huko mlima kilimanjaro tukiwa kwenye sita kwa sita, na hii siyo mara moja wala mara mbili.
Mimi mtu anayeongelea sana ngono kiukweli siwezani naye kabisa, nilimwambia afanye mambo yake mimi bado nakula ujana, akanikaushia kwanzia hapo.
Samahanini mtakaokwazika kwa huu uzi.
Cc.
secretarybird
Nomadix
Kijana Masikini
Hahaha! Mtu wa makamu kafeli kitu kidogo sana, kwamba umemgundua hana mipango thabiti ya kimaisha zaidi ya kuwaza ngono!Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo.