Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

Mbona kama tuna complicate life ?; Quid Pro Quo wewe ukiona kuna kitu unapata huko na yeye kuna kitu anapata kutoka kwako mnaingia katika contract....

So long as kila mtu ananufaika kwa namna moja au nyingine nadhani its all good; Tatizo ni watu kutokuwa na matarajio realistically. Tena bora anayekudanganya atakuoa alafu hakuoi kuliko anayekuoa na kukuweka gerezani (abuse).... Ukizingatia akufukuzaye hakwambii Toka...
 
Hahaha! Mtu wa makamu kafeli kitu kidogo sana, kwamba umemgundua hana mipango thabiti ya kimaisha zaidi ya kuwaza ngono!
Ndiyo mkuu yaani nilikuwa nikiongea naye ananihadithia atakavyonifanya na kunipagawisha on bed
 
Mimi nisingefaidika kabisa na hayo mahusiano maana target yake ilikuwa kunitumia kwa kadri anavyohitaji
 
Mimi nisingefaidika kabisa na hayo mahusiano maana target yake ilikuwa kunitumia kwa kadri anavyohitaji
Katika hayo matumizi na kutumiana wewe haufaidiki lolote; yaani kama ni having good times kwako wewe ni uchungu... (sababu kama company yake unaipenda lakini haipo attached na ndoa) na wewe unataka ndoa hapo sawa..., ila kama wewe unataka ndoa tu, no matter ni kutoka kwa nani huenda upo kwenye barabara ya lami ambayo mwisho wake ni miiba
 
Kampani yake sipendi kwasababu sina hisia naye
 
Una karafudhi ka kimalaya malaya

Ngoja tukae kikao chetu wazee tukubake tu ujana uulie kwa wazee

🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…