Nimefurahi pia Kusikia kuwa mmeachana rasmi na Yule Mganga wetu wa Kisiwani Zanzibar ambaye Kiukweli alitusaidia mno ndani ya ile Miaka Minne mfululizo ya kuwa Mabingwa, ila mwaka jana ( Msimu ) uliomalizika hivi karibuni tu amekuwa akitusaliti sana baada ya Kuchukua Hela nyingi za Yanga SC ( hasa Mfadhili GSM ) na Kutuharibia Simba SC yetu katika Ligi Kuu na Mashindano.ya Kimataifa.