njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Hakuna kitu kibaya katika team kama kumfanya mchezaji mmoja kuwa special, na cha kushukuru ni kwamba wale wacongo watatu wameongezewa mkataba na pesa la sivyo.
Anyway yule kijana toka Ogadougou Burkinabe msimamo wake wa kutolala kigamboni kaushikilia bwana..analetwa mazoezin na Alphard tinted na akimaliza anaondoka nalo
Kingine ni sharti lake la kumbakiza yacouba sogne, watu wasije wakshangaa Moloko au makambo mmojawapo kupigwa panga ili kutokumuudhi poster boy
Yacouba ndiye anampa 411 kuhusu uchawi uliopo kambini wa watu kuibiana soksi, leso,boxer na kupeleka kwa waganga kuwapa wenzao majeraha na kuwachoresha kama ilivyotokea kwa sarpong au yeye mwenyewe sogne
Kazi ipo lakini atleast wacongo wanaoogopeka washashikishwa chambichambi wale wabongo wenzangu na mimi kaeni kwa kutulia