Kumbe kweli huyu meneja wa Diamond ni kilaza

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Hili ndilo 'tamko' la meneja wa Diamond Sallam' kupitia IG page yake kupitia kufungiwa nyimbo 2 za msanii wake. Sasa naunga mkono maneno ya Shigongo hawa Managers wake hasa huyu Sallam wanampoteza, hana busara hata kidogo ni mropokaji. Yaani kwa maneno mengine anamaanisha kwavile mlezi wao ni Makonda hakuna wa kuwagusa, hata kama ni kweli angekaa kimya hayo mambo yangepita kimyakimya sio hivi anavyofanya
dd6c6e0591fea70a413f7da6e4b34453.jpg
 
Mbona hakuna baya lolote aliliandika hapo.
Maana kasema hawajapewa barua ya kufungiwa..

Chuki zitakuua mapema mkuu
 
Hili ndilo 'tamko' la meneja wa Diamond Sallam' kupitia IG page yake kupitia kufungiwa nyimbo 2 za msanii wake. Sasa naunga mkono maneno ya Shigongo hawa Managers wake hasa huyu Sallam wanampoteza, hana busara hata kidogo ni mropokaji. Yaani kwa maneno mengine anamaanisha kwavile mlezi wao ni Makonda hakuna wa kuwagusa, hata kama ni kweli angekaa kimya hayo mambo yangepita kimyakimya sio hivi anavyofanya
dd6c6e0591fea70a413f7da6e4b34453.jpg

Kilaza kakuzidi kipato!!!pole yako mkuu
 
nimetegemea mabaya .... basi wew ndo super kialazas
 
Back
Top Bottom