Hili ndilo 'tamko' la meneja wa Diamond Sallam' kupitia IG page yake kupitia kufungiwa nyimbo 2 za msanii wake. Sasa naunga mkono maneno ya Shigongo hawa Managers wake hasa huyu Sallam wanampoteza, hana busara hata kidogo ni mropokaji. Yaani kwa maneno mengine anamaanisha kwavile mlezi wao ni Makonda hakuna wa kuwagusa, hata kama ni kweli angekaa kimya hayo mambo yangepita kimyakimya sio hivi anavyofanya