Kumbe Lulu Michael na Faiza ni mapacha

Kumbe Lulu Michael na Faiza ni mapacha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ma super stars wenye majina makubwa kuliko umri wao , Lulu Michael na Faiza haider wamejikuta waki share Birthdays zao mwezi mmoja, Siku moja na tarehe moja yaan 16/4. Wawili ambao ambao licha ya Ku share birthdays zao unaambiwa wamefanana karibia kila kitu , mavazi yao, mionekano yao hata umri pia haipishani sana.

Lulu Michael ambaye amejipatia umaarufu kupitia fani ya uigizaji , Faiza haider naye amejipatia umaarufu huo kupitia utangazaji ambao hata lulu naye alianzia uko, hata wenyewe pia wanajiita mapacha uko mitaani..

attachment.php
 
With no offence bro I think habari zako zinabidi ziwe kali kuliko hizi maana hizi uwaachie akina shigongo.
Nilipenda zaidi ulivyoanza mwanzo ulikuwa na hottest news ambazo ilikuwa vigumu kuzipata kwenye magazeti ya shigongo ndiyo maana waka copy habari zako.
Lakini kwa maono yangu umechukua shape mpya una heading kama za shigongo na habari cheap kwa ushauri naona ni kheli usiwe wapost habari nyingi lakini ukipost habari inakuwa nzito sana.
Ni maoni yangu to no offence.
 
Nashukuru, nimekusoma mkuu
 
Hana lolote huyu..habari zake source yake ni Instagram kuna ile Team yao ya umbea ambayo inaropoka uwongo ambao hauna uthibitisho wowote..huyu wa kumpuuza tu
 
LULU kichwa maji tu hamna kitu pale kichwani !
 
Faiza siku hiz anajitahidii kwelii kujipondoa uson na hiyo midomo wapunguze kunyonya mi ub oo
 
Hana lolote huyu..habari zake source yake ni Instagram kuna ile Team yao ya umbea ambayo inaropoka uwongo ambao hauna uthibitisho wowote..huyu wa kumpuuza tu

If u can't fight me, join me...
 
Hana lolote huyu..habari zake source yake ni Instagram kuna ile Team yao ya umbea ambayo inaropoka uwongo ambao hauna uthibitisho wowote..huyu wa kumpuuza tu

Halafu sijawah kum beg mtu asome thread zangu, wewe tu na shobo zako , maana hata uwepo wako siujui kabisa , sasa Sijui unashoboka nini na Mimi, kama vp chapa ilale sijakuita humu , au kuna sehemu nime Ku tag??
 
Faiza siku hiz anajitahidii kwelii kujipondoa uson na hiyo midomo wapunguze kunyonya mi ub oo

anajipodoa kweli siku hizi, si yuko mbele. Kichuo chuo now, so ni transformation hiyo ya kufika chuo
 
Halafu sijawah kum beg mtu asome thread zangu, wewe tu na shobo zako , maana hata uwepo wako siujui kabisa , sasa Sijui unashoboka nini na Mimi, kama vp chapa ilale sijakuita humu , au kuna sehemu nime Ku tag??

We mbuzi kweli..hutambui uwepo wng wewe kama nani?? Nishoboke kwako kwa kipi? mimi na wewe nani kashoboka mana sijaku quote nimejibu mtu mwingine we unawashwa tu..na unaposema Hujaniita unamaanisha nini kiazi wewe..kwamba kila anae andika uzi ni anauweka kwa watu fulani tu wasome? mwanaume kua mmbea hata haipendezi bamia wewe..
 
Utasomaje thread za sh0g@ kama na wewe sio kiaziiii??
 
Kubishana na warumi sawa na kubishana na martin kadinda,rio paul na aunt bilal

Mnaniponda ila kutwa mnashinda kwenye thread za Gossipcopwarumi. Hihihiiii u guys are so funny. Sasa how can u argue with an idiot, stupid n whatever names u call me??, Only health criticism is allowed not an insult
@if you can't fight me, join gossipcopwarumi
 
Last edited by a moderator:
We mbuzi kweli..hutambui uwepo wng wewe kama nani?? Nishoboke kwako kwa kipi? mimi na wewe nani kashoboka mana sijaku quote nimejibu mtu mwingine we unawashwa tu..na unaposema Hujaniita unamaanisha nini kiazi wewe..kwamba kila anae andika uzi ni anauweka kwa watu fulani tu wasome? mwanaume kua mmbea hata haipendezi bamia wewe..

Acha kujipendekeza kwangu , sina mda na wewe bhna, Mimi humu naandika thread kwa baadh ya watu ambao wanapenda habar ninazoandika, wewe kama hupendi sepa , maana naona haupondi thread zangu ila unani attack mm kama Mimi, can u please put personal hatred aside?? Maana hilo ndio tatizo la baadh ya watu kama nyinyi, ponda habari ninazoandika achana na Gossipcopwarumi, sijaona tusi jipya utakalonitukana ambalo sijasikia, nimetukanwa matusi yoteee but I'm still alive na nipo humu humu, Yes nataka ujue jinsi matusi ambavyo hayaniathir chochote mkuu, wewe tukana ukimaliza rudi ulipotoka n forget about warumi
 
Last edited by a moderator:
anajipodoa kweli siku hizi, si yuko mbele. Kichuo chuo now, so ni transformation hiyo ya kufika chuo

Haaa kafika Chuo lini tena?
Mwaka 2012 nakumbuka alikuwa form 3 ! Au kisa baba ake Simba wa Yuda !
 
Back
Top Bottom