With no offence bro I think habari zako zinabidi ziwe kali kuliko hizi maana hizi uwaachie akina shigongo.
Nilipenda zaidi ulivyoanza mwanzo ulikuwa na hottest news ambazo ilikuwa vigumu kuzipata kwenye magazeti ya shigongo ndiyo maana waka copy habari zako.
Lakini kwa maono yangu umechukua shape mpya una heading kama za shigongo na habari cheap kwa ushauri naona ni kheli usiwe wapost habari nyingi lakini ukipost habari inakuwa nzito sana.
Ni maoni yangu to no offence.

Faiza siku hiz anajitahidii kwelii kujipondoa uson na hiyo midomo wapunguze kunyonya mi ub oo

Hana lolote huyu..habari zake source yake ni Instagram kuna ile Team yao ya umbea ambayo inaropoka uwongo ambao hauna uthibitisho wowote..huyu wa kumpuuza tu
Faiza siku hiz anajitahidii kwelii kujipondoa uson na hiyo midomo wapunguze kunyonya mi ub oo
Halafu sijawah kum beg mtu asome thread zangu, wewe tu na shobo zako , maana hata uwepo wako siujui kabisa , sasa Sijui unashoboka nini na Mimi, kama vp chapa ilale sijakuita humu , au kuna sehemu nime Ku tag??
Kubishana na warumi sawa na kubishana na martin kadinda,rio paul na aunt bilal
Ha ha ha asante sana Deo Corleone kwanza nina mashaka kama Gossipcopwarumi ni mmoja kati ya watajwa hapo juu!
We mbuzi kweli..hutambui uwepo wng wewe kama nani?? Nishoboke kwako kwa kipi? mimi na wewe nani kashoboka mana sijaku quote nimejibu mtu mwingine we unawashwa tu..na unaposema Hujaniita unamaanisha nini kiazi wewe..kwamba kila anae andika uzi ni anauweka kwa watu fulani tu wasome? mwanaume kua mmbea hata haipendezi bamia wewe..
Kubishana na warumi sawa na kubishana na martin kadinda,rio paul na aunt bilal
We mbuzi kweli..hutambui uwepo wng wewe kama nani?? Nishoboke kwako kwa kipi? mimi na wewe nani kashoboka mana sijaku quote nimejibu mtu mwingine we unawashwa tu..na unaposema Hujaniita unamaanisha nini kiazi wewe..kwamba kila anae andika uzi ni anauweka kwa watu fulani tu wasome? mwanaume kua mmbea hata haipendezi bamia wewe..
anajipodoa kweli siku hizi, si yuko mbele. Kichuo chuo now, so ni transformation hiyo ya kufika chuo