Mmh kwa lugha tu yupo vizur hatar, English na French anapiga hatar , kuna account mpya anatumia anajiita faiza Sijui movic Nani nani ila najua mdingi wake anaitwa haider , mzee ana mawe hatar halaf maza wake young tuu
Mama yake young tu halaf bonge la sista duu
Kesi ya Lulu imefika wapi? Tunatakka sheria itende hahi period.
Sio una rest-isha watu in peace afu we unabaki kula raha mitaani.
Marehemu nae afunguliwe mashtaka kwa kumbaka lulu
Hahaa sahihi kabisa !
Madem wote hawa mpaka akatembee na katoto ! Kabisa !
Tena 2012 kalikuwa na miaka 17 ni sahihi kwamba marehemu alibaka !
Lulu naye angejitetea alikuwa anataka kunibak nikamsukuma katika hali ya kujitetea ndo akaanguka akafa , it could work nadhan , lulu she is innocent bhana , wabongo midomo tu
Haki gani unayoitaka wewe Ya kanumba Kutembea na mtoto mdogo! Wakati level yake wapo au ?
Lulu naye angejitetea alikuwa anataka kunibak nikamsukuma katika hali ya kujitetea ndo akaanguka akafa , it could work nadhan , lulu she is innocent bhana , wabongo midomo tu
hujaonekana leo !
Ukija njo uniambie ! Nasikia Millard Ayo ni Punga !
Mkuu nipo mkoa now , I had a long and busy day, hii ishu niliwahi kuizungumzia mwaka Jana kuhusu Millard ayyo kuwa punga , watu wakabisha sana kwa kuwa tu muonekano wake na upole wake haviendani na mambo machafu anayoyafanya, in short ndio hvyoo , umzaniaye ndiye kumbe siye
Wewe unaweza kuamni yule muigizaji wa bongo movie Mohammed mwikongi aka frank naye ni punga? , ni ngumu kuamini haswaa ukiangalia mwili wake ulivyojazia na swaga za ki gentleman anazotupia kumbe kijana sio , bora angekuwa anakula yan analiwa live, wengine ntarud.
Sawa sawa warumi ngoja nilalaeee ! Now tired kinyama ! Si unajua ! Tena
Eeh bhna, kesho usikose mapema sana uwahi, tutaanza kuandaa daftar la maudhurio humu jukwaa pendwa, naona maudhurio yanakuwa hafifu kwa baadhi ya wadau humu, Dinazarde , mamakibunju, TATIANA, Heaven on Earth, lusungo, mrembo by nature, Money Stunna, qn of sheba, Evelyn Salt, Matola, Excel na wengine wote , inabid tuwe imara sana kipindi hiki maana kuna baadhi ya watu wamejiunga humu kwa kusudi la kuua jukwaa pendwa, we have to say Big no to this, humu tupo miaka yotee .
Siku hizi unanikata stimu bana unatoa muhtasari unasepa hata hutoi umbea....Eeh bhna, kesho usikose mapema sana uwahi, tutaanza kuandaa daftar la maudhurio humu jukwaa pendwa, naona maudhurio yanakuwa hafifu kwa baadhi ya wadau humu, Dinazarde , mamakibunju, TATIANA, Heaven on Earth, lusungo, mrembo by nature, Money Stunna, qn of sheba, Evelyn Salt, Matola, Excel na wengine wote , inabid tuwe imara sana kipindi hiki maana kuna baadhi ya watu wamejiunga humu kwa kusudi la kuua jukwaa pendwa, we have to say Big no to this, humu tupo miaka yotee .