Elections 2010 Kumbe Maalim Seif ni sawa na mkuu wa wilaya?


seif hawezi kuisambaratisha tanzania nzima , hata kidogo, labla kuho zenji, KUHUSU KAZI ZA MAALIMU SEFU, NI KUFANYA KAZI ZOZOTE ATAKAZO PANGIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, MFANO KUHUDHURIA SHEREHE MBALIMBALI, NK.
BAADA YA KUAPISHWA KUWA MAKAMU WA KWANZA, SHEIN ALIMPANGIA KAZI YA KUSHUGHULUKIA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA
 
waambie hao kalagabaho mazumbukuku.
 
hapo kwenye blue si kweli. conduct a study wakati huu na wakati wa mfungo. and make your own conclusion
kwani umeambiwa bia ni haram ramazan tu,kajifunze tena kama ni iman yako,kama si iman yako acha kuropoka, usidandie treni kwa mbele.
 

waambie mkuu,umenena asali tupu,wao wakaungane na janjaweed au josef kony kwamigwanda ile laguju.
 
Anaweza asambaratishe ZANZIBAR,sio TANGANYIKA,FULL STOP
 

Hiyo 75% umeipataje? Kuna research umekuwa ukiiendesha? Tunaomba details zako zilizokuwezesha kufikia hiyo 75%. Namna nyingine huko ndiyo tunakokuita ni kuropoka. Mimi nina imani kuwa katika Tanzania hii kama kuna wanaomsikiliza maalim Seif Sharif itakuwa si zaidi ya 3%. Msingi wa kusema hivyo ni kuwa wananchi waliokipa chama cha CUF kura katika nafasi ya Urais ilikuwa ni about 2%. Na huko Zanzibar wanaomsikiliza ni about 49% ya Wazanzibari, ndiyo kura alizozipata.
 



Hapo kwenye RED mimi nashindwa kukuelewa ni ushaidi hupi unaoutaka wewe? labda tu nikujibu kwamba Maalim Seif sio sehemu ya bunge, na hata Gharib Bilal nae sio sehemu ya bunge, hawa ni marufuku kuingia bungeni mpaka spika awaombe wabunge kwa idhini yao wabunge ndipo wabunge wakikubali basi hapo ndipo hiyo kanuni inavunjwa kwa siku hiyo tu.
Hii ndio stlye walioingilia bungeni akina Ivo Mapunda, Shadrack Nsajigwa (fuso) n.k.
Hizi tittle zingine za kisanii zisiwatie upofu mkashindwa kuelewa ukweli, mtu asiyekuwa na jeshi au mamlaka ya kuamuru jeshi au kutangaza vita mimi binafsi huwa namtambuwa kama kiongozi na si rais. mbaya zaidi hata kwenye mikutano ya UN ambayo marais wote wa dunia wanakutana, wewe kama huna hadhi ya kuhudhuria mikutano hii, hivi ni sahihi wewe kujiita kuwa ni rais? no way i can't buy the story.
Kumbuka kwamba hata TFF wana rais wao ambaye ni Leodgar Tenga.
 
kwa vyovyote itifaki lazima itakua ilizingatiwa,kwa mtazamo wangu Seif yuko juu ya Lukuvi ila nahisi pia Katiba ya huku bara haimtambui kazi kweli kweli
 
kwa vyovyote itifaki lazima itakua ilizingatiwa,kwa mtazamo wangu Seif yuko juu ya Lukuvi ila nahisi pia Katiba ya huku bara haimtambui kazi kweli kweli

Sasa kama katiba haimtambui itakuwaje awe juu ys waziri wa JMT?
 
Nacho fahamu mimi hakutoa tuzo hizo kwa sababu za kiimani (Bia na swala tano haviendani) ingawa nashindwa kuelewa kwa nini alihudhuria.

Kama ni hivyo kadhi atalipwa na kodi zipi!!
 
@Zilo and Doto ndo maana kuna haja ya kuwa na katiba Mpya kuna mkanganyiko saana kwenye haya masuala wana fanya vitu vingine kwa mazoea tu ila ndo hivyo katiba ya bara haimtambui makamu wa 2 wa raisi,ndo maaana hata jk ameliona hili kaona moto wa katiba sio mchezo, amini uasiamni katiba mpya ita tengua muunagno na iki uacha basi kutakuwa na serikali 3,Zanzibar washajitangaza nchi huru na mambo yao,bendera yao,wimbo wataifa wao naomba nishie hapa nisi ibue mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…