nyanimzungu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 1,204
- 934
One day nko na my friend night tumetoka kupiga maji taka bar flani hv mitaa ya sinza kipindi hiko ndo nmeingia dar kutoka mkoani bado sijalizoea jiji.tukiwa tunajikongoja kurudi nyumbani jamaa kumbe ananipitisha njia wanayojipanga hao viumbe basi tumejongea tumefika mbele kidogo nashangaa madada kama wawili wanavuka barabara kuja kwetu
Nkashangaa mmoja kanivagaa na makiss kwa shavu langu na yule mwingine kamvaa my friend aisee wale watoto wanajua kupet pet kapombe kote kaliisha akili ikahamia kwenye kitumbua
Nmechoka ntaimalizia baadae