JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kizuri kula na mwenzio. Ila mademu mna roho mbaya sana yaani kwenye hela ndo unampindua hadi rafiki yako ili umnyakue bwana ake kisa hela. Sasa madam rita anasota na bss yake itv katimuliwa tbc1 hana hela ya kulipia kisa urafiki mavi. Ndo maana kuna wakati alikuwa analalamika kuna mademu wana PHD (pull her down) ya kunyakua mabwana wa wenzao. Dah ila jacki alimuundia mkakati wa hatari besti ake sijui alipitia bagamoyo au wapi.