Kizuri kula na mwenzio. Ila mademu mna roho mbaya sana yaani kwenye hela ndo unampindua hadi rafiki yako ili umnyakue bwana ake kisa hela. Sasa madam rita anasota na bss yake itv katimuliwa tbc1 hana hela ya kulipia kisa urafiki mavi. Ndo maana kuna wakati alikuwa analalamika kuna mademu wana PHD (pull her down) ya kunyakua mabwana wa wenzao. Dah ila jacki alimuundia mkakati wa hatari besti ake sijui alipitia bagamoyo au wapi.
Nadhani Madam Rita hakupenda kujiachia na mzee Mengi hadharani....Alitaka secret love. But Madam Jacky did the opposite. She kept everything open....and that is called love as we see it today between madam Jacky and Mzee Mengi.
Always madam Jacky yuko huru na Mzee Mengi popote pale BUT Madam Rita alikuwa na penzi la kujifichaficha akidhani ndio werevu!
labda madamu ritha alikuwa hataki mtoto, hana mapenzi ya wazi.. ona mwenzie kaingia na kakubali kuzalishwa maisha yanaenda .. madamu alikuwa sitaki nataka