Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
<br><br>soma hizo makala uelezee ulichoona kama huzisomi sasa nitakufafanulia nini?Sasa mkuu ume2fundsha nn?m cjakuelewa kbs!
mahusiano yana variations za difinisheni kutoka mtu na mtu mwingine....
kwa hiyo wakati wewe unayaona hivi mimi nayaona tofauti kabisaaaa!ukiwaangalia wenzio walikwama wapi utaumia kwa sababu utakuwa unaishi vivuli vyao na utaogopa kwa sababu eti na wao walishindwa
Kingine msiyafanye mapenzi kuwa complex kwa sababu ukiyacomplicate yatakuwa magumu mpaka utashangaa mwenyewe na kamwe hautaweza lakini ukiwa simple utaona kila k2 ni as usual....you are what u think because you are full of fake dreams and illusions
hbu nisubirie pilau kwanza ndo nirudi soma huu upuuzi
Ukiingia kichwa kichwa
nimependa majibu anayoyatoa muulizwaji
Kwa kweli.nimependa majibu anayoyatoa muulizwaji