Kumbe Mama Magufuli ni left!

Kabla hajawa first lady hii isingekuwa habari
 
Achen unafik bas,siasa zinaingiaje hapa s kuja jukwaa lake huko??mbona huwa mnajadili miguu ya wema,mashat ya le mutuz itakua janet??mkweendeeee
 
Taasisi ya kitapeli ndio inaanzishwa hivyo!
Zile harambee za makanisani na misikitini zimeishia wapi, halafu mbona siku za hivi karibuni sikumuona mzee akipanda daladala na kunywa chai kwa mama ntilie, au yale yalikua maigizo maalum ya muda ule maalum
 
she must be kichw

I t is true ; ndio maana huyu mama ametulia na anajiamini kumbe ni left handed!!

Binadamu wengi left handed wana akili na busara sana; mfano ni Barack Obama, Bill Clinton na huyu mama Magufuli kwa wale ninaowafahamu mimi!!!
 
Mara nyingi watu wanaotumia left hand, wana uwezo zaidi kiakili like genius
 
Yes hiyo haina ubishi Mara nyingi left handed wako smart.Hata mwanangu walimu Fulani washamba walitaka kumwaribu hasitumie left nikawapiga marufuku.And she is very smart Sasa na left yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…