Kumbe Mama mkwe!!

Huyu jamaa aki-comment kwenye post......... hii avater yake kama anakejeli vile.................!
 
Yani kafanana mpaka kimo mpaka harufu mpaka mwili wake makalio mikono yake mpaka sauti kweli watu hufanana lakini si kiasi hicho.

Jamaa anasema hakupata muda wa kujiuliza hayo!
 
nadhani haikustahili kukaa hapa embu ipeleke kwenye jukwa la vichekesho
 

samahani, hivi we ni mkewe shigongo au unafanyakazi katika magazeti yake?
 

Sijui kingefuata kipi kama Mke wako asingeingia, na sijajua baada ya kukupa mikono na kugeuka alikuwa anataka kusema nini ama kufanya nini ukizingatia ulikuwa umeshafanya makubwa mpaka hapo. Pole sana, umakini unatakiwa hasa katika mazingira ya jikoni Mkuu!
 
itategemea na mkeo atalichukuliaje swala hilo
 
hata halufu ya mkeo huijui halafu kabila gani hilo?
 

ivi watu mnawaza nini? eti dada wa mkeo, mama mkwe, ndogo wa mkeo wanavaa nguo za mkeo. kunannini? kama hawana nguo si uwanunlie? me nguo ya mke wangu havai mtu kwa kuazima , kama atapewa basi atapewa yote yote na hata valia kwangu. kwanza nguo za wife me napigia mabao kila siku sasa hawa wanao vaa vaa kushindia , tena ndani kwangu wana akili hawa?
 

Kwa maoni yangu naona ni kosa kwa Baba kwenda jikoni kama jiko linahudumiwa na mtu zaidi ya Mama, kwa mfano msichana wa kazi au watu wengine. Ila kama Mama peke yake ndio yupo jikoni ruksa Baba kwenda jikoni kutoa kampani na kusaidia vinavyowezekana. Ni hatari Baba kuingia jikoni gafla bila taarifa jiko lililo na watu wengi, ndio mambo ya kumkuta Mama Mkwe, Shemeji, au Housegirl kakaa vibaya (uchi). Wazee wetu zamani walikuwa akifika nyumbani kwanza anajikoolesha au kufanya kitendo chochote kuonyesha amefika. HAPO ALICHEMSHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…